Kuhusu Africa Golden Story

Africa Golden Story  ni tovuti ambayo tunakuandalia na kukushirikisha simulizi na jumbe mbalimbali za kiafrika kwa lugha ya kiswahili zinazo elimisha na kuburudisha.  

 

Lengo letu ni kuchochea jamii yenye 

maarifa, matumaini, afya njema, 

mahusiano thabiti na ubunifu huku

tukiheshimu utambulisho wa Kiafrika na kuutangaza kwa ulimwengu. 

 

Asante sana kwa kutembelea tovuti yetu, 

usiache kutuachia maoni yako ili tuzidi 

kuiboresha zaidi.