Kuhusu Africa Golden Story
Africa Golden Story ni tovuti ambayo tunakuandalia na kukushirikisha simulizi na jumbe mbalimbali za kiafrika kwa lugha ya kiswahili zinazo elimisha na kuburudisha.
Lengo letu ni kuchochea jamii yenye
maarifa, matumaini, afya njema,
mahusiano thabiti na ubunifu huku
tukiheshimu utambulisho wa Kiafrika na kuutangaza kwa ulimwengu.
Asante sana kwa kutembelea tovuti yetu,
usiache kutuachia maoni yako ili tuzidi
kuiboresha zaidi.